Jinsi ya kujiunga

Uanachama.


1... Nenda kwenye      "registreren"

2 .. Jaza sehemu zote zilizo wazi.

Voornaam : jina la kwanza

Achlernaam: Jina la mwisho

qeslacht : Jinsia

Vrouw : Kike

Man : Kiume

Adres + house number : Anuani + Namba ya nyumba

Postcode : Namba ya  Posta Example Dar- 22

Plaats : Mji

Land - Nchi

 Email : Barua Pepe

Maak een wachtwoord - Neno siri

Bevestig wachtwoord - Hakikisha neno siri

Inloggen - Ingia

Wachtwoord - Neno siri

Welkom by de lut Ac - Karibu

Abonnementen - uanachama

Bonyeza kisanduku cha kijani

kama una namba ya promosheni andika hapa.

Confirm your free membership. hakikisha uanachama wako.

Kama unahitaji msaada,tafadhali usisite kunipigia

katika namba +255 754 088 604 au email: semsapparel@gmail.com

Jina: Mrs. Hanisha. A . Semfuko.